iqna

IQNA

IQNA – Kikao cha 26 cha Chuo cha Kimataifa cha Fiqhi ya Kiislamu (IIFA) kimehitimishwa jijini Doha baada ya siku tano za mijadala, kikitoa mapendekezo muhimu kuhusu akili mnemba (AI), michezo ya kidijitali, afya ya akili, na ustawi wa watoto.
Habari ID: 3480661    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/09

IQNA-Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetoa taarifa rasmi mwishoni mwa kikao chake cha mjini Jeddah, Saudi Arabia na kulaani kwa nguvu zote njama za Marekani na Israel za kutaka kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3480334    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/09

IQNA – Wakati ulimwengu wa Kiislamu ukikaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani, Katibu Mkuu wa Shirika la Ushirikiano wa Kiislamu (OIC), Hissein Brahim Taha, amemuomba Mwenyezi Mungu aujali mwezi huu uwe "hatua muhimu” katika ukombozi wa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3480284    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/01

Watetezi wa Palestina
IQNA-Washiriki wa kikao cha viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislamu kilichofanyika mjini Riyadh, Saudi Arabia wamesisitiza umuhimu wa kuzingatiwa suala la Palestina kama kadhia kuu na kuwaunga mkono kwa dhati wananchi wa taifa hilo ili wapate haki zao za kitaifa na zenye uhalali.
Habari ID: 3479743    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/12

Katibu wa mkutano wa kimataifa kuhusu "Miaka 75 ya Uvamizi huko Palestina" alisema karatasi 300 za lugha 6 zimewasilishwa kwenye mkutano huo.
Habari ID: 3479027    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/29

Jinai za Israel
IQNA-Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeitaka jamii ya kimataifa ichukue hatua na kuubebesha dhima utawala wa Kizayuni wa Israel, kutokana na jinai na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo haramu dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3478780    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/06

Kadhia ya Palestina
IQNA- Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imesisitiza katika taarifa yake kwamba, mji wa Quds (Jerusalem) ni sehemu isiyoweza kutenganishwa na ardhi ya Palestina na mji mkuu wa Dola ya Palestina, na eneo lote la Msikiti wa Al-Aqsa ni makhsusi kwa ajili ya ibada ya Waislamu tu.
Habari ID: 3478525    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/16

Waislamu China
JEDDAH (IQNA) – Ujumbe wa wawakilishi 25 kutoka Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) uliwasili China Alhamisi kujadili uhusiano wa pande mbili na hadhi ya jamii ya Waislamu nchini humo, OIC ilisema katika taarifa yake.
Habari ID: 3477454    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/18

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Hossein Amir Abdollahian amewasilisha mapendekezo ya Iran kwa ajili ya kukabiliana na vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Ulaya.
Habari ID: 3477369    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/01

Chuki dhidi ya Uislamu
MAKKA (IQNA) - Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) Jumatano ilitoa wito kwa nchi wanachama wake kufadhili utayarishaji wa vipindi vya radio, televisheni na vyombo vingine vya habari kwa lengo la kupambana na chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3477246    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/06

Diplomasia
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Russia ametangaza utayarifu wa nchi hiyo wa kuwa na ushirikiano mkubwa wa kibiashara na kiutamaduni na nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3477019    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/19

Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu OIC imetoa wito wa kususiwa bidhaa za zinazozalishwa na utawala haramu wa Israel aktika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3470186    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/08